Sep 13, 2008

Toa Maoni yako





Anaitwa Markus Mpangala mwanafunzi chuo kikuu cha Dar rafiki yangu mkubwa sana na sijapata rafiki mwenye mawazo na fikra za maendeleo kama yeye hakika amenishauri mambo mengi sana katika maisha yangu na wmengi aliyonishauri leo hii yameniletea maendeleo katika maisha yangu.
Kwa sasa hivi mimi na yeye wote ni wandishi wa habari katika magazeti mbalimbali hapa nchini vilevile wote ni Wanablogu tunaohakikisha kila mtu dunia nzima anapata habari kupitia blogu zetu

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

asante kwa kunisalimia nami nakusalimia. Markus pia ni mwl wangu wa blog pia "rafiki" yangu msalimie

Yasinta Ngonyani said...

haya nami nakusalia Markus ni rafiki yangu pia

Anonymous said...

halafu ninyi nitapiaga mtu aaaaaaaaaaaaaa...natania jamani mtajuaje kama wanyasa ndiyo zetu utani. vipi wote hamyambuyambu kimatengo jamani?

Anonymous said...

asante rafiki yangu kwa kunikumbuka na nashukuru sana. maana naamini kwamba work done is not equal to zero au vipi. endelea kublogu.