
Huyu ni mwanaglogu mwenzangu je, unamonaje? toa maoni yako kuhusiana na unavyomuona hapo kwenye picha ila mimi huwa ninajifunza mambo mengi kutoka kwake. Muangalie hivyo tuni mwanadada nzuri kwanza anavutia na anaakili nyingi sana na ni mtu wa malengo na maisha yake.
1 comment:
namfahamu sana,ni Sarah........mjasiriamali naweza kusema hivyo.
Post a Comment