
Huyu ni Sophia Kessy mtangazaji mahiri na mwenye sauti yenye kuvutia kwa kila msikilizaji. kwani katika kipindi chake cha Afikani mbambata ndani ya nyumba ya clouds Fm huwa anatisha, mwanadada kweli amejaliwa kipaji chake.
uhuru wa habari ni ukombozi