Sep 13, 2008

Toa Maoni yako




Huyu ni rafiki yangu Habiba anakaa Dar ni rafiki yangu wa karibu sana kwani huwa ananishauri pale ninapokwanma kimawazo na kifikra hakika sitamusahau na wewe kama unamatatizo niombe contact zake ili upate ushauri daima huwa hatozi kitu chochote ni mjamaa wa kweli nas na fikra za kiujamaa. Basi ndugu toa maoni kuhusiana na ulivyomuona na maelezo yangu

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

aise una marafiki wengi, una bahati sana inaonekana we ni kijana mwema